Hii ndio Tanzania

Hii ndio Tanzania

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
1,795
Reaction score
1,923
Shkamoo Tz

Nchi ambayo watu hushinda online 24 hours kila post wanacomment alafu wanalalamika maisha magum#shenzy fanya kazi

Nchi ambayo watu hawajui katiba yao ya zaman lakini wanataka katiba mpya kwa hali na mali!!##pumbavu penda kujifunza

Nchi ambayo ajira ni nyingi lakini wasomi asilimia 90 wanataka kuajiriwa## Kilaza jifunze kujiajiri

Nchi ambayo mnatongozana asubui jioni mko supermapenzi gest house## nyambafu mnatofaut gani na ng'ombe wa mbegu....kuwa mgumu wewe sometym

Nchi ambayo mitahala na matokeo ya sekondari yanabadilishiwa utaratibu kila cku ili taaluma ipande lakni ndo kwaanza manunda yanaongezeka##


Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.....nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana.........................
 
Nchi ambayo mnawaangalia viongozi wenu wa bunge la katiba wakila hela ya kodi zenu na bado mnawatolea meno tuuu;:; Upuuuz
 
machafu yanch hii nimengi sana huwa sitakag hata kuyafikiria nisijepata presha bureee.vijana taifa lakesho ajira hakuna.hata hizo ndogo zilizopo hazina maslah kwa mfanyakazi mishahara haitosh na wafanyakazi weng wanaendesha maisha kwa mikopo tena yenye riba huku wakiambiwa nunawasaidia kupata mikopo yenye riba nafuu.nao wakishangilia na kusahau mshahara na mazingira ya kazo ni magumu.mimo ninayo mifano mingi ila huu ndo ulinitia uchungu zaidi kwakua nilishuhudia ipo kampuni moja kubwa.ya.vyandarua kule arusha yenyewe inalipa mshahara kima cha chini ni laki top laki 2.sasa hapa kwenye laki kuna makato.kama ifuatavyo

nssf kutegemea na mshahara

misiba 3elifu

sttaf bus 15 elfu
ina nyumba za wafanyakazi ila sibure munaish watu 4to 6 kwenye room na kila mtu atakatwa 24 elfu kwa mwez.kama una familya utapewa kazi wewe na mkeo nakila moja atakatwa 30 elfu.sasa kwa mtaji huu huyo mtanzania anayepata ajira hizi vipi.ataweza kuendesha maisha?vipi serikali ijisifu imeongeza ajira zina faida ipi kwa mtanzania maskni?hayo ninayosema yapo na nikweli.yani mimi tanzania yangu naipenda sana tena kwamoyo wote ila naichukia serikali iliyoko madarakani kuliko ninavyochukia kitu kingine chochote duniani.napia namchukia yeyote hata angekua mama yangu anayeisifia serikali hii.nuona ni mnafki na msaliti mkubwa wa taifahili.
 
Shkamoo Tz

Nchi ambayo watu hushinda online 24 hours kila post wanacomment alafu wanalalamika maisha magum#shenzy fanya kazi

Nchi ambayo watu hawajui katiba yao ya zaman lakini wanataka katiba mpya kwa hali na mali!!##pumbavu penda kujifunza

Nchi ambayo ajira ni nyingi lakini wasomi asilimia 90 wanataka kuajiriwa## Kilaza jifunze kujiajiri

Nchi ambayo mnatongozana asubui jioni mko supermapenzi gest house## nyambafu mnatofaut gani na ng'ombe wa mbegu....kuwa mgumu wewe sometym

Nchi ambayo mitahala na matokeo ya sekondari yanabadilishiwa utaratibu kila cku ili taaluma ipande lakni ndo kwaanza manunda yanaongezeka##


Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.....nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana.........................


Shikamoo hapo kwenye Green
 
Back
Top Bottom