Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Wakuu nilikua naangalia 5 Sport ya EATV kuna mtoto hapa nimemwona anaitwa MAGDALENE MUSHI.. Mtoto anang'ata ung'eng'e balaa alafu kanivutia ile mbaya.. Huyu ni mmachame mwenzangu bila shaka, yeyote mwenye contact zake anisaidie jamani. Nataka kutangaza ndoa hapo..