Happy birthday to mimi

Happy birthday to mimi

mamii2

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2014
Posts
356
Reaction score
109
Namshukuru mungu kwa kuendelea kunipa uhai mpaka siku hii ya leo ambayo natimiza miaka kadhaa, bila kusahau zawadi ya pekee ambayo amenipa mama yangu kunibeba katika tumbo lake kwa miezi tisa kunilea kwa kila hali mpaka sii hii nyingine tenaa.......!

So nimeona nisiwe mchoyo wana jf wenzangu, na wana MMU wote karibuni tusherekee kwa pamoja siku hii ambayo ni muhimu sana kwangu.....!!
 
weka picha tujue unakuwa msichana au bibi halafu ndo tuanze!!!!
images.jpg
 
Happy birthday
 

Attachments

  • 1411371340757.jpg
    1411371340757.jpg
    7 KB · Views: 71
Namshukuru mungu kwa
kuendelea kunipa uhai mpaka siku hii ya leo ambayo natimiza miaka
kadhaa, bila kusahau zawadi ya pekee ambayo amenipa mama yangu kunibeba
katika tumbo lake kwa miezi tisa kunilea kwa kila hali mpaka sii hii
nyingine tenaa.......!

So nimeona nisiwe mchoyo wana jf wenzangu, na wana MMU wote karibuni
tusherekee kwa pamoja siku hii ambayo ni muhimu sana
kwangu.....!!

happy birtgday dia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom