Maeneo ya namna hii ili kujivinjari inahitaji mfuko utune kidogo, lakini kama mtu ukijipanga ndani ya miezi miwili kwa ule mtindo wa umoja ni nguvu, watu wanajimuvuzisha mjengoni kiulaini bila...
Nilikutana na uzi unaohusu michapio, katika kupitia nikagundua michapio yote ni ya kimatamshi, nikakumbuka kuna michapio mingine ni ya kivitendo. Labda niiite michapio bubu. Kwa mfano:-
1. Mezani...
linapokuja swala la kufuga mnyama nyumbani kama nyau au mbwa au wengi wetu tuna tofauti mbalimbali zinazotufanya tumpende mnyama flani kuzidi wengine binafsi napenda kufuga paka wewe je
1. kuna mtu anapewa mimba saa
hii
2. kuna mtu anapewa ugonjwa
saa hii in the name of kuskia
utamu...Mungu akusamehe
3. kuna mtu anavunja nyumba ya
wenyewe saa hii mwenyewe Kazi ni kazi..
4...
Kuna mdada hapa mtaani namsikia anamsifu mumewe kuwa hakuna mwanaume muaminifu kama mumewe, kwa kuwa toka jamaa kanunua simu ni mwaka wa 3 na kila akiaangalia simu, Inbox- Empty, Sent Items-...
Wana jf leo ngoja niwakumbushie kituko kilichotokeaga ukweni kwangu huko machame uchagani kwa mara ya kwanza nilienda na mchumba yangu kwao machame kujitambulisha kwa vile mm mtu wa pwani, tanga...
Girl:bby..
Boy: yec bby..
Girl: Hii simuu..
Boy: Imefanyajee?
Girl: Inazinguaa..
Boy: ina nn?
Girl: asa kila siku wananiona na
hiihii?
Boy: sasa si ndo uliyonayo?
watakuonaje na ingine?
Girl...
cku moja nilipigwa mkwara wa nguvu na bro baada ya kukojoa kitandani nkasema imetosha ntajikaza ctakojoa tena, ucku uliofuata nikawa naota kamdudu kananifukuza mbio mbio sana nilipokaribia home...
Ukiwa unataka kujiunganisha na internet nzuri na yenye kasi ya ajabu ya hawa Eatel, utatakiwa kuchagua nchi. kwa bahati nzuri nchi yoyote utakayoichagua utaweza kupata net. Sasa kuna hizi nchi...
hivi karibuni nimemaliza safari ya porini na raia wa uswisi.wageni hao ni wawili maana ya mtu na mpenzi wake,
wakati nawapokea jro airport nilijua ni mtu na mama yake,yarabi toba nikawauliza...
Kuna hii style ya watoto kucheza mchezo wa Kujificha au baba na mama, mnajipikilisha..Jamani hii michezo wakati mwingine siyo mizuri kwa watoto...Me simkubalii mwanangu kucheza kabisa..
Watoto...