Kishule shule hii inauma sana!!!!

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
1,233
405
Inauma mno!!!
Unakuta mtu kafaulu vizuri kidato cha nne na kupewa selection kwenda A level.

Kufika huko unagonga four ama zero kabisa!! Aaargh!!

Unaanza tena kutumia gamba la form four kusakia lower level (certificate)

Always inakera sana mwanafunzi aliyekuwa na malengo ya kusoma degree kuja kuanza cheti..
 
All in all Life is a process. Kuna watu wameanzia cheti na bado walipata degree. Never underestimate anyone.
 
Back
Top Bottom