Usipoangalia haya yanaweza kukuondolea unadhifu wako

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
  • Kuvaa mkanda wa plasitic,
  • Mshati yenye picha picha,
  • kuwa na nguo inayoonyesha ishara ya mti wa bangi,
  • Viatu vilivyoisha sole na kwenda upande,
  • Kuvaa suti yenye rangi mbili,
  • Kuwa na wallet mbovu iliyochakaa,
  • Kuvaa suti na sandals
  • Kuvaa cheni fake,
  • Kuvaa mipete zaidi ya moja kwenye mkono tena fake!
  • Kuweka makalamu mengi kwenye mfuko wa suti.
  • Kutembea nakitambulisho nje mazingira yako ya kazi,
  • Kuvaa kamba yenye flash disk hadi kwenye ma baa
  • Kuwa kwenye baa na kuanza kuwasha laptop

Mengine endelezeni
 
Lol! Ngoja nidigest hizi:
Wadada:
Fake nails that looks really fake (unless u ar a model ama muigizaji)
Wigi kama la joti (limechachamaa kama steelwire)
Kuvaa viatu vireefu usivyoweza kutembelea,u end up kutembea kama unachechemea
Kuvaa nguo fupi kuliko unavyoweza kuwa comfortable na kuishia kuivuta kila saa
Kuvaa teitei na sarawili inayochora mistari (especially kama unakuwaga na bad pant day,lol)
(FF atakuja kumalizia)
 
Tehe, tehe, tehe. Nkimaliza kucheka ntajazia vya kwangu...lolzzz!
 
Lol! Ngoja nidigest hizi:
Wadada:
Fake nails that looks really fake (unless u ar a model ama muigizaji)
Wigi kama la joti (limechachamaa kama steelwire)
Kuvaa viatu vireefu usivyoweza kutembelea,u end up kutembea kama unachechemea
Kuvaa nguo fupi kuliko unavyoweza kuwa comfortable na kuishia kuivuta kila saa
Kuvaa teitei na sarawili inayochora mistari (especially kama unakuwaga na bad pant day,lol)
(FF atakuja kumalizia)

hapo hata kama upo mtanashati kiasi gani.....hilo wigi linaharibu kila kitu.....
 
Lol! Ngoja nidigest hizi:
Wadada:
Fake nails that looks really fake (unless u ar a model ama muigizaji)
Wigi kama la joti (limechachamaa kama steelwire)
Kuvaa viatu vireefu usivyoweza kutembelea,u end up kutembea kama unachechemea
Kuvaa nguo fupi kuliko unavyoweza kuwa comfortable na kuishia kuivuta kila saa
Kuvaa teitei na sarawili inayochora mistari (especially kama unakuwaga na bad pant day,lol)
(FF atakuja kumalizia)

Ha ha ha, kucha na high heels umenimaliza. Tunaomba twishen ya kutembelea
 
unatoa business card yenye vyeo lukuki....
ceo,phd,mjumbe wa nyumba kumi,mwenyekiti wa saccos lol

umenikumbusha, soon nitaanza kutumia title ya dokta, manake naona nimebaki mimi tu, lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom