Wana JF tuombane misamaha kuelekea mwaka mpya..

Wana JF tuombane misamaha kuelekea mwaka mpya..

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
20,150
Reaction score
40,921
Wana JF wenzangu wale ambao walikoseana mwaka jana si vyema kubaki na vinyongo..katika kuukaribisha mwaka mpya....ningependa tuchukue nafasi hii kuombana misamaha kwa wale ambao unahisi uliwakosea kwa namna moja au nyingine....au uliwakwaza kwa majibu yako....KARIBUNI WAPENDWA....
 
naamini sina adui hapo wala kule .....ikiwa hivyo basi nawapenda nyote ....
 
kuna kadada humu nakachukia kweli kinapenda kunifatilia sana ila nashukuru mana ignore list ilifanya kaz ipasavyo zaidi sina aienikosea
 
Mbona wewe hujaomba msamaha kwa uliowakosea
 
Back
Top Bottom