N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,318 Reaction score 12,824 Jan 2, 2015 #1 Nasikia wale vijana watukutu 'panya road' wamerudi mitaani,sasa wakazi wa Dar kulala ni saa 12 jioni,wachepukaji nao wanabaki ndoani,teh teh
Nasikia wale vijana watukutu 'panya road' wamerudi mitaani,sasa wakazi wa Dar kulala ni saa 12 jioni,wachepukaji nao wanabaki ndoani,teh teh