Habari Zenyu binafsi......................
Ifuatayo ni orodha ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa CHIT CHIT......
1. measkron = Jestina Mhagama
2. Paloma = Halima Mdee
3...
Ticha: Ikitokea ufukuzwe na simba utafanyaje?
Denti :Nitapanda juu ya mti.
Ticha:Na simba akikufata juu ya mti je?
Denti: Nitaruka nikimbilie mtoni.
Ticha: Na akikufuata mtoni?
Denti: Aaaaaaah...
Demu: Unafanya Kazi gani?
Jamaa: Unaifahamu Whatsapp?
Demu: Hapana, nini?
Jamaa:Ni Kampuni kubwa sana duniani yenye wateja wengi sana, zaidi ya milioni 300. Sasa mimi ni Admin wa Magroup
kama...
Kaka mmoja alikuwa kwenye daladala na pembeni yake kulikuwa na dada mrembo. Jamaa akamwuliza samahani dada
unaitwa Google? Dada akamjibu, hapana, kwa nini umedhani naitwa hivyo? jamaa akajibu...
Ndugu zangu wana Jamii Forums mlioko Dar es salaam a.k.a panya road city, lawama city, karaha city, wanyoa vidugu city, without water city mengine ongezea mwenyewe.
Natarajia kutua hapo Ubungo...
Wakuu siku zote huwa tunatafuta best couple zinazo match hasa katika kutafta maisha.ukiwa ndani ya ndoa.Je hapa mnaonaje?
Mwigulu Nchemba + Sitti Abas Mtemvu= Best Couple
Naomba kuwasilisha.
After a long day of working
I warmly welcome you listening
this Beautiful Song
ALWAYS BY JAMES INGRAM
I want you always
Ooh Ooh Ooh
I want you always,
I want you always
People tell me you're...
Joni Miwani alikuwa kanisani, kapu la sadaka likaanza kupitishwa, lilipofika kwake akatoa noti ya shilingi mia tano akaikunja kisirisiri akaitumbukiza kwenye kapu.
Mara ile ile akaguswa begani...
Teacher:"Who is the President of
TANZANIA?"
Children:"WILBROAD SLAA"
Teacher:"Correct, and the Minister of
Defence?"
Children:" ZITO KABWE"
Teacher:"Correct. What is the capital city of...
"All Of Me" By John Legend
[Verse 1:]
What would I do without your smart mouth?
Drawing me in, and you kicking me out
You've got my head spinning, no kidding, I can't pin you down
What's going on...
Utaaminije kuwa mtu ni rafiki yako wa dhati. utatumia mbinu zipi?, pia ni dalili zipi zinazo dhihirisha upendo wa dhati?. naomba michango yenu ya mawazo.
hi ladies my names spongue im looking for laydy who can support me and all my hobbies and who doesnt mind me staying home while your out working am good cook dont mind cutting lawns but...
Habarini.
Wanajamvi wote mnakaribishwa kufanyiwa massage yoyote ile isipokuwa massage ya ile ingine mnaijua iila kuna mtaalamu
maalum wa kukufanyia massage mpaka ujione uko fresh.
Saluni yetu...