Kaka mmoja alikuwa kwenye daladala na pembeni yake kulikuwa na dada mrembo. Jamaa akamwuliza samahani dada
unaitwa Google? Dada akamjibu, hapana, kwa nini umedhani naitwa hivyo? jamaa akajibu una kila kitu ninachokitafuta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.