Sadaka

Sadaka

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
579
Reaction score
212
Joni Miwani alikuwa kanisani, kapu la sadaka likaanza kupitishwa, lilipofika kwake akatoa noti ya shilingi mia tano akaikunja kisirisiri akaitumbukiza kwenye kapu.

Mara ile ile akaguswa begani na mtu aliyekuwa nyuma yake, kugeuka akakuta jamaa anampa noti mbili za elfu kumi, akajua jamaa anataka kutoa sadaka, akazipokea na na kuzitia katika kapu.

Walipomaliza Ibada tu jamaa akamfuata nje yule mheshimiwa aliyetoa shilingi alfu ishirini, na kuanza kumpa hongera kwa kujitolea fungu kubwa vile katika sadaka.

Mheshimiwa akajibu, hapana haikuwa sadaka yangu, ulipokuwa unatoa sadaka yako mfukoni, zile hela zilidondoka kutoka kwenye mfuko wako, nikaziokota na kukurudishia. Mi mwenyewe sikuwa hata na fedha ya kutoa sadaka'
 
Du!! hapo John lazma mavi yasukume pichu kama namuona vile jins macho yalivyomtoka anatamani arudi kanisan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom