JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Umoja wa watanzania wanaotumia mitandao ya kijamii nchini Tanzania, umemuomba Mfalme wa Mitandao ya Kijamii Tanzania, Ndugu. William John Samwel Malecela a.k.a Lemutuz...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hili swali ni kwa wote humu KE na ME, ktk hawa wasanii wa bongo fleva na bongo muvi ni yupi ambae umekuwa ukitamani uje upate ka nafasi hata kwa kwa cku moja tu kubinuka nae kwny 6×6, nikija kwa...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Nakutakiasikunjema
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Msosimwema. Na wale mnaojifungia ofisini mmeaga mnaenda lunch nanyi mchanamwema bilakuwasahau walemabosi wanaofunga mlango MKUU wakiandika tumeenda lunch huku ndani kunamkewamtu Ana ULA shubiri...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Uweke nauzito wako baadayakupima tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama mtoto mdogo ni mchanga basi mtumzima ni cement na kwaumli ulionao wewe sasaivi yawezekana ukawa zege.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nampenda yule dada wa kwenye tangazo la wezesha ls air tell money!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilikuwa najaribu tu kama nami naweza 7bu nimejiunga jana tu kumbe nami nimekubaliwa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Iwe bojo, nitumie message ushinde mihela.. heheheheee!! (Kwa lafudhi ya kihaya-sauti isiyo na shida!!) Habari zilizo mujini ni kwamba Jay millions ni pesa zetu za Escrow ambazo J-Ruge anazichezea...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau Swalaaama! anasema tatizo nyota * mwambieni diamond kama tatizo nyota kwanini asijaribu reli?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Profesa mbilinyi,profesa muhongo,profesa tibaijuka du! bora kuuza pipi na kudili na miamba
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Copy and Paste .......!!! Za wikiend Wakuu. Leo nasikia Kuna mech ya mashehe na maaskofu lengo la mechi hii ni kudumisha Amani ya nchi hii. SWALI langu ni lini UKAWA na CCM watacheza...
2 Reactions
29 Replies
8K Views
Salaam wote. Jamani hivi kwa mfano Jamii forums ingekuwa lile Jumba letu la Big Brother kule Bondeni Kwa Tata Madiba a.k.a Mandela. Kisha jinsi Members wote humu ndiyo tungekuwa washiriki...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Amchelewi kusema same to you. Siku kama ya Leo umezaliwa na marehemu mama yangu kipenzi Mama Pdidy,Mungu amlaze Pema peponi.
1 Reactions
1 Replies
979 Views
Kuna mahawara wa prof uchwara. Mwizi, muongo, arrogant waliuaminisha ulimwengu kuwa prof. Wao hawezi kujiuzulu kwa kuwa akijizulu nchi itatikisika, umeme utakatika nchi nzima. Kwa hiyo basi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mi nitakuwa kwa Gwajima napiga majeshi then home we wee.Karibuni.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Inbox ya mdada: 1. I love u dear (Juma.) 2.Nikutoe out Leo? (John.) 3.Huwa inaniuma sana nikikuona na wanaume wengine (Mwambi) 4.Sweetie! usisahau Trip ya Bagamoyo, uniambie nikupitie wapi...
9 Reactions
29 Replies
5K Views
Kwa taarifa Mohamed Amin 'MO' ndiye mwandishi pekee wa habari aliyetoa ukweli kuhusu njaa ilivyokuwa inawaua watu Ethiopia. Katika miaka ya 1980s kulikuwa na njaa kubwa iliyowaua waethiopia zaidi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom