Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,840
- 38,930
Ndugu zangu wana Jamii Forums mlioko Dar es salaam a.k.a panya road city, lawama city, karaha city, wanyoa vidugu city, without water city mengine ongezea mwenyewe.
Natarajia kutua hapo Ubungo kesho jioni, nilikuwa mkoani naombeni mjitokeze kwa wingi kuja kunipokea, mwanajumuia mwenzenu katika jiji letu hilo.Pia msisahau kuniombea safari njema wadau.
Tafahali sana.