Profile picture za kwanza za wabongo ziliwekwa Facebook?

Profile picture za kwanza za wabongo ziliwekwa Facebook?

Joined
Jul 9, 2013
Posts
14
Reaction score
1
Hi wadau wa Jamii Forums.

Ni swali ninalouliza tu maana nimeona mahali et 75% ya watanzania walitupia kwa Mara ya kwanza profile picture Facebook 20% ni My Space 5% sehemu nyingine kama kwenye email je kuna ukweli hapa wadau me nipo kwa 75% hapo
 
Back
Top Bottom