Denicedion
Member
- Jan 11, 2015
- 33
- 7
Breaking news
HATIMAYE MMOJA WAO KAJIUZURU: Inatia moyo kuona watanzania sasa wanatambua umuhimu wakuwajibika katika ngazi tofauti. Baada yakufanya madudu makubwa na kushindwa kutimiza matarajio ya wengi, hatimae kwa utashi wake kaamua kujiuzuru. Ni Kocha Msaidizi wa Timu Ya Mtaan Kwetu...!
Sasa unakasirika nini? Ulitaka nani ajiuzuru?