Najitoa mhanga kimapenzi kwa msanii Lulu

Najitoa mhanga kimapenzi kwa msanii Lulu

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Yamesemwa mengi sana kuhusiana huyu msanii wa bongo movie Lulu kuwa kila mwanaume anayekuwa naye kimapenzi kwa muda mrefu mwisho wake ni kifo.

Kama sio kwa kusukumwa ukutani basi kwa pressure eti ukitaka kuwa na huyu msichana unashauriwa kuandika kabisa wosia na mgawanyo wa urithi wa mali zako kwa familia.

Sasa mimi nimeamua kujitosa kujitoa mhanga kumfuata na kuwa naye kimapenzi na huyu binti pamoja na hizo kashfa zisizothibitishwa, hata nikifa ntakuwa nimekufa kishujaa katika tasnia ya mapenzi.
 
Usisumbuke, maselebiti wengi hasa wacheza muvi siyo wazuri kwenye game - Ushuhuda
 
Hongera marehemu mtarajiwa. Mpelekee duche. Naona wewe utakufa kwa kimeta.
 
dezain kma ana ixh iv ..!! maana l xhakuw bwawa !! uta kfa na kilo mbli kweny mfuko..::;! xhaur yko uta umia..
 
Kama jina lako haliishii na -MBA hamna shida!

KANU-MBA
KO-MBA!
If so R.ip
 
Inawezekana akikukubali yeye ndo atakuwa amejitoa muhanga.
 
Kivipi mkuu? Kwani ana oversize papuchi au ni bwawa! Lakini yule si ni binti mdogo tu!

bint mdogo una chet chake cha clinic?
bint mdogo at that age ashaonja jela?

BTW mfupa ulimshinda fisi/ ulowashinda vigogo utaweza wew? try her.
 
Back
Top Bottom