Mkudisingo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 421
- 123
yani ukidhani eti watakusapoti ulichoandika maweee umeumia watakukandia haooo mpaka ujionee aibu mwenyewe sasa maajabu yanakuja pale ambapo unatarajia kupondwa wao wanakubeba ,sasa usije kutegemea unapost uzi ukajua utajiopolea mikoment yakutosha khaaa hamna lolote watapita vijana wawili watakuchafulia wakati utashangaa na roho yako sasa angalia wenzio kauzi kadogo afu kakijinga micomenti ndwiii mbaka lumbesa sijui kunakujuwana mi sielewi,mfano hai jamaa kajipostia jukwaa la mapenz hoja ya mapenz lakini katukanwa eti anarudisha nyuma maendeleo ya taifa yeye muda wote anawaza mapenzi nk,usishangae akaja hapa akanitukana na mimi tena nayemsaidia yani ni shida humundani hapatabiriki kinanuka muda wowote.nahii sijui watasemaje sasa.......