Nani anaeweza kunipa jina la huo mji?

Nani anaeweza kunipa jina la huo mji?

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
704
Nataka nione kama wewe ni mkali wa maswali ya mitego twende kazi.Ni mji gani una majengo ya kifahari na jina la mji huo ni kifaa kitumikacho Msikitini na Kanisanina vile vile jina la Mji huo ni jina la msanii wa Bongo Movie.

Nipe jibu
 
Hili swali lako ulipeleke ktk kipindi cha watoto show redio 1 watakujibu !
 
Back
Top Bottom