Yamoto band kwanini wanaogopa defender? Wakamatwe wachunguzwe!

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Kama sio mhalifu kwa nini uogope defender? Je, wewe ni kibaka, mwizi, jambazi, mvuta bangi/madawa ya kulevya au muuza madawa ya kulevya!

Hawa machalii napenda sana nyimbo zao na jinsi wanavyoperform kwenye stage. Lakini hivi vipande vya kuogopa defender katika nyimbo zao vimenishtua kidogo!

Kuna wimbo wanamfananisha dada mmoja malaya kuwa ni wa kuogopwa kama defender. Sasa hivi kweli defender ni ya kuogopwa kwa raia asiye na hatia?

Hawa wakamatwe wachunguzwe, wahojiwe kwa nini wanaogopa sana defender za polisi!

Ni mtazamo tu! Sijui wengine mna maoni gani kwa mtazamo wangu au mtazamo wenu kwa hawa vijana wa Yamoto band katika kuogopa kwao defender!
 
mnaacha kuwaza kwa nini hela ngumu! mnawaza vipande vya nyimbo kuogopa defender!
wakiimba wanaogopa ukimwi wafanywe nini?
 
Eti na wewe umeanzisha UZI ha ha ha lol yaani it's a full of rubbish and childish
 
Sikuizi kuanzisha uzi imekuwa rahisi, ngoja na mimi nitafute kamstari kalikonigusa kwenye nitakupwelepweta nijianzishie kauzi
 
Hivi kwa nini wanasema wewe una rambo mimi nina mua? Nisipopata jibu namie naianzishia thread
 
Back
Top Bottom