Jamani mwenzenu leo nimefulia

Jamani mwenzenu leo nimefulia

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
9,116
Reaction score
8,662
Habari za weekend wapendwa,

Rafiki kanipigia twende out nikamkubalia nikifahamu nina elfu 75000/= kwenye mpesa,kuja kucheki nina sh. 386/= na nikakumbuka jana asubuhi nilimtumia bwana mdogo chuoni Bombo Hospital pesa ya mahitaji mbalimbali.

Leo hii niliaga kibaruani baada ya kuchoka na kazi za kibarua nikaona ni vizuri nijipumzishe jumamosi hii ili jumatatu niwe fiti. Jamii forums tuanzishe utaratibu wa kuwezeshana endapo member atakuwa amefulia kama mimi leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom