Demu huyo nae amezidi ulafi utafikiri mara yake ya kwanza kuona chakula!ila huyo sista kala msosi balaa halafu ungetegemea nini
Ndio maana nimekuambia ingekua kibongobongo ingekua poa sana.hata hivi naona kuchonga viazi ni kazi ndogo imagine kama amekula msosi zaidi ya sh 15,000
Mwenzangu umenikumbusha juzikati hapo kijana mmoja kaiba suruali kwenye duka moja la nguo mwenyewe alivyomkamata wakamshikisha ukuta .Aisee niliumia sana.Nilitamani hata nikawauwe!Hahahaha yani nimecheka balaaaa afadhali ya huko kuchonga viazi bongo hii kidume kingeshikishwa ukuta