JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sijawahi kumuona miss chagga katika uhalisia ila kama ndiye huyu niliyemuona katika ndoto yangu aiseee natangaza nia ya kumuwania bila kushindwa.Ndoto imeanza mimi nikiwa nimeketi siting room ya...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Mjinga mmoojaaa… mpuuzi mmoojaaa…asiye na akili mmojaaaaa… YUDA ISCARIOT.... Sijui kala maharage ya wapi yuuule... Kamuuza YESU KRISTO kwa wajinga wenzake waleeeee... wakamkamata YESU waleee...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Eti hivi ndivyo mahojiano yalivyoenda: MPELELEZI:Hebu Soma Biblia Kitabu Cha TITO 3:2. GWAJIMA:"Kwa Ujasiri" 'WASIMTUKANE MTU YEYOTE,WASIWE WAGOMVI,WAWE WEMA,WAKIONYESHA UPOLE WOTE KWA WATU...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama maisha ni mtihani mbona Past paper zake hazipatikani? Acheni uongo. Nimepekua vitabu vya Nyambari cjakuta past papers za maisha.:dance::thinking::majani7:
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni muda sasa mkuu Baba V hajaonekana jukwaa hili na mengineyo. Yuko wapi mwanachama huyu? Kwa mwenye taarifa zake atufahamishe. Karibuni jukwaa la siasa! Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
2 Reactions
16 Replies
2K Views
[SIZE=3]Jf leo nimekasirika mpaka nataka kupasuka ilikuwa hivi, WANA MEMBER Kuna demu mmoja tulikuwa tunachati kama wiki moja na nusu hivi na tulishaonana zaidi ya mara tatu before...
3 Reactions
149 Replies
14K Views
Kila mtu humu anataka pesa, wengine tayari wamefanikiwa kuzipata kiasi na wengi wetu bado tunatafuta. Sasa nimebuni njia rahisi na nyepesi kwa kila mtu kujipatia pesa kwa urahisi zaidi. Nataka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Rafiki yangu alinambia jana kuwa anataka kuoa nimsaidie kutafuta mke nikaona ni vyema nitoe taarifa hapa jukwaani ili kama kuna dada yupo tayari kuolewa ani PM aweke namba zake ili wakubaliane.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Toa na.wewe sifa unazozifaamu za msela 1. hafugi paka 2.hafui shuka bila kuumwa mafua 3.sufuria na sahani ndiyo hio hio 4.jiko lake lipo mgahawani 5.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Wana JF, Unamkumbuka DJ Emperor wa BIRIGI Sound? Ebu Mchecki kwenye Picha akifanya yake MOTEL AGIP. DJ EMPEROR AMESHAACHANA NA U-DJ KWA SASA NI CEO.
0 Reactions
0 Replies
648 Views
MCHUNGAJI: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yumwema, WAUMINI wote wakageukiana na kusema Mungu yu mwema, MCHUNGAJI: Leo nitawaombea wale wote wasio zaa,mgeukie mwenzio na umwambie leo utapata...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Msela mmoja alipata mgeni ambaye ni rafiki ya wa zamani waliesoma nae...kwa kuwa ilikuwa ni jioni ilibidi jamaa amkaribishe jamaa alale kwake ili kesho aendelee na safari yake.. xaxa msela kapanga...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
:majani7::majani7: Nimewamic humu ndani.... doooh najua mshanisahau..... hayaaa anaenikumbuka akuje hapa tusherehekeamo pasaka basiiiiii.... :bump2:
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Huu ni udaku full. Ni mara nyingi ITV huwa wanampa airtime ya kutosha mzee wetu Mengi akiwa kwenye matukio mbalimbali. Nawashawishi waandae kipindi maalumu cha kuonesha ndoa ya Mzee wetu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nilidhamiria kuandika series kuhusu kazi na majukumu ya Mods wa JF na umuhimu wao kwenye online forum kama hii yenye wanachama zaidi ya laki tatu. Madhumuni ni kutufanya tu-appreciate kazi zao na...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Kuna mambo wanakikundi ni lazima tuwekane sawa, imeniuma sana na hata jana nilitaka niwapigie wanagroup niwaeleze waangalie hili swala linaweza kukomeshwa vipi. Mimi naamini kundi liliundwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Poleni wadau wa MMU, Nimeona vema kuanzisha uzi huu ili wewe unaempenda mtu flani humu jukwaani ushushe nondo zako hapa kiroho safi kabisa mweleze hadharani kuonyesha jinsi unavyomkubali si...
3 Reactions
95 Replies
8K Views
Hii kitu nimeichunguza miaka mingi sana, ukienda hospitalini, madaktari wengi tena bora utakuwa wafupiiii, yaani wakati mwingine ukiambiwa huyo ndio anaenda kukuhudumia huwezi amini utadhani...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni shule inayopatikana katika Mkoa wa Mbeya ni kilometa 12 kutoka mji wa Tukuyu, kwa waliopita uko ukitoka Tukuyu unatembea mpaka karibu na makandana hospital unaacha barabara ya Kyela kushoto...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…