Unapo ombwa simu na mumeo

Unapo ombwa simu na mumeo

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
MKE: "Naomba simu yako plz..."
MUME: "Ahh okay ngoja niwashe nilikuwa
nimezima...."
Delete videos
Delete pictures
Delete inbox
Delete sent items
Delete dialed calls
Delete received calls
Delete missed calls
Delete contacts
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
FORMAT MeMoRY CARD!!!!
MUME: "Hii hapa mke wangu..!!!"
MKE: "asante nataka tu kuangalia saa ngapi
niseti simu yangu!!!!!"



MICHEPUKO SIO DILI....!!!
 
ameomba mke au mme by the way uaminifu ndo kitu cha muhim sana katika mahusiano + ndoa
 
Sasa mbona hizo delete ni too much, hata kama ni panick hiyo sio au ndo kusema simu nzima ilijaa virus a.k.a michepuko
 
Back
Top Bottom