John Massawe alikuwa kanisani, kapu la sadaka likaanza kupitishwa, lilipofika kwake akatoa noti ya shilingi mia tano akaikunja kisirisiri akaitumbukiza kwenye kapu. Mara ile ile akaguswa begani na...
Hivi umeshawahi kukaa na kufikiri miaka michache ijayo mambo yatakuwaje? Hebu kwa mfano mwaka 2022 twaweza shuhudia yafuatayo hapa Tanzania.
1. Wakati huo dawa ya ukimwi ishapatikana, mtu...
Nimeletewa hii kwenye simu yangu ni bora na nyie mkaburudike wanajamvi:
Sick woman was lying on her sickbed with her husband by her side, she turns to her husband and started apologetic...
Sijui watu hawajui kuwa ukibipu mara moja inatosha mtu kuona na kukupigia akipata nafasi? Pia nahisi mtu akibipu huwa anaendelea kubipu mfululizo ndio maana simu yake inakuwa bize muda wote baada...
Team Kupanga.
Jamaa analala yeye na mke wake na watoto wote chumba kimoja. Akamwambia mke wake wacha tujinyooshe wakishalala watoto, ukiona nawasha kibiriti nazima ujue nakuita njoo kwangu...
Habari Nilizozipata Hivi Punde Zinasema Mwenyekiti Wa Chadema Taifa Mh.Freeman Mbowe Hayupo Hai (jimboni) Tena Na Yupo Jijini Dar Es Salaam Akiendelea Na Shughuli Za Kiofisi
Jana katika pitapita zangu nimekutana na staff bus yenye maandishi yafuatayo.
"RIJK ZWAAN Q-SEM"
ukibadilisha hayo maandishi yasomeke
"JK RIZWAAN Q-SEM" basi unaweza kuhisi hii kampuni...
Habar wadau, napiga picha jinsi nowadays akina Dada wanavoonyesha mashepu yao tofauti na zaman, utakuta mdada kavaa vitenge vinne, kimoja kiunoni, kikingine kifuani na kingine chini kidogo ya...
Dear all Tanzanians,
As a Tanzanian am proud to have achieved another milestone...The Tanzanian Shilling is now equal to more than 2000 to 1 US$!!!! Congratulations to all of us Tanzanians for...
Masawe is on his deathbed and knows the end is near. The nurse, his wife, his daughter and 2 sons, are with him. He asks for 2 witnesses to be present to record his last wishes, and when all is...
Wakuu kwa kutambua umuhimu wa siku hii, napenda nimpongeze Mkuu ladyfurahia kwa kuzaliwa siku kama ya leo, Bwana akupe maisha marefu yenye baraka tele katika maisha yako.
Tushirikiane kupongezana...
Zifuatazo ni tarehe muhimu sana katika kipindi kijacho kuanzia sasa hivi. Kuna matukio makubwa yatatokea duniani na katika maisha ya mtu binafsi.
Matukio hayo yanatafsiriwa kuwa ni mwanzo mpya...