JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
...........
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bandugu bhana ba Kilosa hodiiii... Wajameni mwenzetu leo jioni mgeni wenu hapo kwa wilaya! Nawaombeni nijuzeni wapi lodge nzuri ya kulala na maeneo gani nitapata ile huduma yetu ya dharura...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajf wenzangu, Mimi kwa upande wangu natamani niwaone wanajf wote hasa mshana Jr!Hebu nawe funguka nani unatamani umuone. Karibuni wote
6 Reactions
789 Replies
38K Views
Wakutokea na wakazi wa bariadi ningeomba tufamiane kido acha comment itakua vizuri
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sunda: Wee Ayebo, unamfahamu John Kitime? Ayebo: aaaaa, huyo? Nani asiyemjua? Namfahamu sana! Sunda: Ehe, hebu nieleze, ni nani huyo? Ayebo: Kitime bana kama humjui, ndiye mwanzilishi na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukimeza kanda unajamba muziki.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamaa analala yeye na mke wake na watoto wote chumba kimoja. Akamwambia mke wake wacha tujinyooshe wakishalala watoto, ukiona nawasha kibiriti nazima ujue nakuita njoo kwangu.. Mke Akakubali sawa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kati ya Posts takriban 30 zilizoanzishwa......ambazo hazijaondolewa/kuunganishwa ni mada 4 tu! Ipo hii pia
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nani Haelewi Kati ya Hawa? Dogo: Bro naomba nitumie hela Bro: Tumia tu mpaka uchoke Dogo: Hujanielewa , nitumie hela. Bro: We ndo hunielewi, nimesema tumia. :confused2::confused2::confused2:
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimekuwa katika uhusiano kwa mwaka sasa na hatimaye nimeridhika na huyu binti awe mke wangu wa ndoa. Naitaji nimvishe pete ya uchumba ingawaje sijamfahamisha itakuwa ni wakati gani. 1. Pete...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Watu humu ndani kila kukicha wanatangaza nia sasa imekua fashion ila jitahidini mlete mrejesho na wengine tujue kinachoendelea huko pm namimi sijui nichukue form?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana chitchat mlioko jiji a mbeya niko hapa leo ni mitaa gani nizungukie mizuri maana naona jiji limepoa sana
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mahabuba, Go East go West home is best. Tized nimekumiss mahabuba wangu, Niko hoi taabani sijiwezi njoo unitibu daktari wangu. Wewe ndo wajua ugonjwa wangu, ukinipima presha joto linashuka...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mshikaji (mlinzi )alikua anahisi mkewe anamsaliti but hana ushahidi wa kutosha. Siku moja akaenda kumsimulia friend wake na wakatega mtego, jioni ilipofika jamaa akaaga anaenda job huku akimuacha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
"Ridhika na unachokipata ila usichoke kutafuta" Ndilo wazo langu kwenu leo! Wewe je, unawaza nini leo? Tubadilishane mawazo waungwana! Karibuni!!!
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Je kutoka kutumia nokia ya "tochi"na kumiliki smartphone ni hatua ya maendeleo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi kwa mfano tuchukulie kwamba moja ya vigezo na masharti ya kujiunga jf ni kulipia sh.1000 kwa kila post utakayotuma jf tangu siku ya kwanza ulipokuwa member, na sh. 500 kwa kila hoja(comment)...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam sana, Nafarijika kwa maneno mazuri juu yangu sina la kusema zaidi ya kushukuru sana my prince najua ipo siku tutakutana nina imani hiyo pia ni wazi kwamba nimepitia mengi sana ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mlevi alianguka kwenye dumu la taka, makalio yake yakawa nje kidogo. Akapita kichaa mmoja, akamshika makalio, mlevi akatingisha makalio yake. Kichaa akajisemea moyoni "mtaa huu una matajiri...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…