KATASAN'KAZA JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 3,097 Reaction score 1,356 Jun 17, 2015 #1 Bandugu bhana ba Kilosa hodiiii... Wajameni mwenzetu leo jioni mgeni wenu hapo kwa wilaya! Nawaombeni nijuzeni wapi lodge nzuri ya kulala na maeneo gani nitapata ile huduma yetu ya dharura...! Wakina mysee palace karibisha mimi...! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bandugu bhana ba Kilosa hodiiii... Wajameni mwenzetu leo jioni mgeni wenu hapo kwa wilaya! Nawaombeni nijuzeni wapi lodge nzuri ya kulala na maeneo gani nitapata ile huduma yetu ya dharura...! Wakina mysee palace karibisha mimi...!