Mlevi na Kichaa

Pancras Suday

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
8,143
3,830
Mlevi alianguka kwenye dumu la taka, makalio yake yakawa nje kidogo. Akapita kichaa mmoja, akamshika makalio, mlevi akatingisha makalio yake. Kichaa akajisemea moyoni "mtaa huu una matajiri sana, matako mazima kabisa haya yametupwa"
 
Nimecheka sana. Nadhani hiki ni kichekesho cha kwanza humu jf kwa kuwa na ubunifu wa hali ya juu. Umetisha sana, you have made my day,days,months, years, decades, centuries, millennium e.t.c.
 
Back
Top Bottom