PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
Mshikaji (mlinzi )alikua anahisi mkewe anamsaliti but hana ushahidi wa kutosha. Siku moja akaenda kumsimulia friend wake na wakatega mtego, jioni ilipofika jamaa akaaga anaenda job huku akimuacha friend wake asome mchezo nyuma.
Bhasi baada ya kutoka, yule mwizi wa penzi akazama kama kawa wakafanya yao. Asubuhi yule jamaa akaenda kwa friend wake kupewa feedback. Akaambiwa ulipotoka tu, kweli mkeo aliingiza mwanaume.
Nikaenda kuwachungulia dirishani. Jamaa alipoingia chumbani kwako na mkeo, akavua shati na suruali akatundika nyuma ya mlango, then wakazima taa. Sijaona tena coz kulikua na giza.
Jamaa mwenye mke akasema "unaona sasa, hapo tu ndo ninaposhindwa kupata ushahidi na kujua ukweli "