Washa kibiriti zima kibiriti

Washa kibiriti zima kibiriti

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,105
Reaction score
14,356
Jamaa analala yeye na mke wake na watoto wote
chumba kimoja. Akamwambia mke wake wacha
tujinyooshe wakishalala watoto, ukiona nawasha
kibiriti nazima ujue nakuita njoo kwangu..
Mke Akakubali sawa mume wangu, mke
ukamchukua usingizi akalala�� ��
Mume akaanza kuwasha na kuzima.
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Na mke kalala..
Mmoja kati ya watoto akamwambia ndugu yake..
"Dogo mwamshe mama yako asije akatuunguza
huyu -----
 
Back
Top Bottom