Kutangaza nia

Kutangaza nia

issa mweusi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
1,477
Reaction score
1,139
Watu humu ndani kila kukicha wanatangaza nia sasa imekua fashion ila jitahidini mlete mrejesho na wengine tujue kinachoendelea huko pm namimi sijui nichukue form?
 
khaaaa....mkuu Kilaza kwanini jamani

Sogea Nikunongoneze au basi....wewe tangaza nia nitakwambia kwanini ....nitakudhamini wewe chukua fomu tu....kesho nitakesha ofisi za Love connect kukusubiri
 
Last edited by a moderator:
OK.....ntachukua coz ni haki yangu ya msing
 
Sogea Nikunongoneze au basi....wewe tangaza nia nitakwambia kwanini ....nitakudhamini wewe chukua fomu tu....kesho nitakesha ofisi za Love connect kukusubiri

mmmmh...nihakikishie udhamini wa asilimia zote mi fomu nitachukua
 
Dah niliposoma huo mstari wa mwisho "Fomu nitachukua" kamoyo kamenilipuka Paaaaaaa ....siunajua sijawai kujuta kukupenda....wewe chukua fomu tu mama udhamini wangu sio wakutia shaka niwaasilimia zote go go go rubii
 
Back
Top Bottom