Mdada mwenye sauti nzuuuri, anakuwa na sura isiyoridhisha?

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
Nimechat na mdada mmoja kwenye simu kweli sauti ni balaa, nzuri mno nikafanya mpango nionane nae maana sauti ilinivuta, kwa kweli hakua anafanana na ile sauti.

Je, ni kweli hakuna uhusiano wa sura na sauti?
 
Ina maana wewe hujui wanawake wenye sura na sauti nzuri pamoja?

Mimi najua wanaume wenye sauti na sura za kiume pamoja.
 
sauti zinadanganya tena akijijua yeye mbaya sauti anaitengeneza mpaka inakusisimua, mimi dizaini zile nakaa chodo kwanza halafu napiga simu akipokea namsaminisha kwanza ndo najitokeza
 
sauti zinadanganya tena akijijua yeye mbaya sauti anaitengeneza mpaka inakusisimua, mimi dizaini zile nakaa chodo kwanza halafu napiga simu akipokea namsaminisha kwanza ndo najitokeza

ha ha ha haaaaa...nimeipenda hiyo
 
...nimechat na mdada mmoja kwenye simu kweli sauti ni balaa...nzuri mno
nikafanya mpango nionane nae maana sauti ilinivuta,...kwa kweli hakua anafanana na ile sauti.
je ni kweli hakuna uhusiano wa sura na sauti?
sidhani kama kuna uhusiano...ila wengine wana sura nzuri na sauti nzuri.
 
Ina maana wewe hujui wanawake wenye sura na sauti nzuri pamoja?

Mimi najua wanaume wenye sauti na sura za kiume pamoja.
lizzy cwajui,..msaada plz...afu ishu sio sauti yakike tu, sauti laini,...mororo...nyepesiii...inayovuta!!
 
sauti zinadanganya tena akijijua yeye mbaya sauti anaitengeneza mpaka inakusisimua, mimi dizaini zile nakaa chodo kwanza halafu napiga simu akipokea namsaminisha kwanza ndo najitokeza

Ni hivyo ee!
 
mimi na uzee huu nikiongea kwenye simu
hala hala ukaanza kuni date, usidanganyike na sauti mkuu.
 
Hakuna kgezo halc cha kujua mwny saut na sura nzur kwa pamoja, inatokea 2!!bt pia nlwah ckia kuwa wazungu wanasaut nzur coz of fud wanazokula, .sas hapo ndo neno lipo
 
lizzy cwajui,..msaada plz...afu ishu sio sauti yakike tu, sauti laini,...mororo...nyepesiii...inayovuta!!

Sasa msaada gani ntakupa hapa bana? Ungekua mtaani kwetu ningekutambulisha kwa wawili watatu na wewe uoshe macho na masikio PAMOJA!
 
Mi nilishawahi kumuacha mdada kituoni UBUNGO maana tumepanga appointment kuja kuonana anatokea GUBE GUBE la hatariii. nilichofanya ni kuzima simu mazima.. kuja kuwasha baadae nakutana na message za mitusi baraaa
 
...nimechat na mdada mmoja kwenye simu kweli sauti ni balaa...nzuri mno
nikafanya mpango nionane nae maana sauti ilinivuta,...kwa kweli hakua anafanana na ile sauti.
je ni kweli hakuna uhusiano wa sura na sauti?

nakuunga mkono uwe mref zaidi, huu uzi wako uko sahihi... mi mwenyew shuhuda....
 
Kuna yule mdada mtangazaj wa power breakfast ya mawingu ana sauti nzuri lakin mengineyo muumba aliteleza kidogo
 
Back
Top Bottom