Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,109
- 3,055
Nakumbuka kipindi kile nikiwa mgeni humu basi nilikua navutika na discussion za MMU members after Jf party.
Basi nikatamani walau siku nikizinyaka nihudhurie hizo Jf party, but surprisingly mkwanja nimeupata na party zisikii tena..
Nilikua nauliza tena wakongwe! hivi hizi Jf party ziko wapi na sisi tufaidi?