Bandugu jana mji wa Goma ulizizima kwa sherehe mbili kwanza ilikua ni siku ya Wazazi kwa DRC na pia ilikua na birthday ya mama first lady huyu mama ni mzaliwa wa hapa Goma...kama kawaida...
Baada ya kukaa bongo mzungu alijifunza maneno matatu
JAMBO,SALAMA NA SAFI SANA.
Siku moja alikutana na #mdau mmoja hivi. Ikawa hivi;
Mzungu~ jambo?
Mdau~ sijambo.
Mzungu~ salama?
Mdau~ si...
Ni siku njema sana ambayo Bwana ameifanya...karibuni wengine mliozaliwa siku kama ya leo tujumuike.
Kipekee niwashukuru JF ambao wamekuwa wakinitumia wishes kila mwaka tokea mwaka 2009...
#boy_ &_girl
BOY ~ nataka kuwa pilot.....
GIRL ~unazingua, bora uache..
BOY ~ehee, kwani unafikiri siwezi ??
GIRL ~umeshindwa kurusha
voucher,utaweza ndege .........!!!!!
May every Birthday make you more stunning than you already are, more funny than you already are, more stylish than you already are, more generous than you already are and more creative than you...
I've visited T.Z a few times recently, Arusha to be specific and I've got to admit I have lost count of the number of times I had my head turned by the beauty of your women. Kwanza them bootays...
Jana nashukuru baada ya hotuba ya Freeman Mbowe kumalizika, nilikutana na katibu CCM itikadi na uenezi, kama kawaida hakosagi neno, sambamba na utani wake kwangu, akaniuliza"
" Tumemsikia...
Baada ya kukaa bongo mzungu
alijifunza maneno matatu
JAMBO,SALAMA NA SAFI SANA. cku
moja alikutana na #mdau mmoja hivi. Ikawa hiv.
mzungu~ jambo?
Mdau~ sijambo.
mzungu~ salama...
Habari zenyu binafsi,
Jamani naomba kufahamu jinsi ya kutengeneza gongo
Iwe ni ile ya au ya ndizi, au ya zabibu. Maadamu iwe gongo.
Natanguliza shukrani
CL