Hii tabia karibu kila mtu anayo

Hii tabia karibu kila mtu anayo

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,272
Reaction score
987
Habarini wanajamvi,

Natumaini mko poa sana kama unaumwa nikupe pole sana utapona.

Ni hivi mimi ninakaswali ka kizushi hivi ni kwanini mara nyingi mtu akianguka bahati mbaya unakuta atachekwa kwanza kisha pole ndo itafuata.

Hii tabia hata me ninayo unakuta mtu anaendesha hata baiskeli ghafla akigaragara chini atachekwaaa halafu msaada ndo utafuata.

D:Yani unajikuta utacheka kwanza hii inakuaje wadau?
 
Back
Top Bottom