Wasalaam,
Nimekuwa nikisikia Mara nyig kuhusu hili jambo Mapepo, hata katika mambo yanayopaswa binadamu kutumia Akili yanasingiziwa Mapepo.
Utasikia: Ana pepo la kiburi.
Au ana pepo la uchoyo...
sikuamini nilipo.abiwa kwaba mshikaji wangu kafaliki hospitall bugado banda ya kufanyiwa opolesheni ya moyo amekaa zaindi ya siku tatu anapumua nabanda yahapo nda ikashindikana hatimae mauti...
MC: Na sasa tupate maneno machache kutoka kwa Bwana Harusi.
Bwana Harusi: Asante MC, kwanza naomba nimshukuru Mungu kwa kumuumba mke wangu, kwa hilo Mungu uko juu.
Pili, nimshukuru baba mwenye...
Kutokana na msisimko wa siasa uliopo nchini, watu wanatoleana matusi, si busara ukereketwa wetu kwenye siasa ndugu zangu tutoe hoja za msingi na sio kukashifiana.
Mine is! ha haaa
Hellos wapendwa,
Ni hivi, my parent yupo humu JF, najua hadi jina lake humu ndani, how did i knw? siku tupo kifamilia zaidi, ila ye kashikilia tablet yake kaboreka mwenyewe...
Boy:Hi
Girl:Am fine
Boy:You look so beautiful
Girl:You look so handsome too
Boy:I love you
Girl:Thanks Boy:I want to be your boyfriend?
Girl:Accepted,but no sex!
Boy:Why?
Girl:Coz i want...
Wakuu naomba nieleweke kwa hili.
Juzi ijumaa niliamua kwenda kijijini kuwasalimia wazazi wangu,na nilibeba baadhi ya vyakula kwa ajili yao. Nilipofika na kuwajulia hali,nikamuuliza baba je...
In case you come across these books with their authors, which one would you prefer to buy?
1.How to look handsome by Steven Wasira
2.The secret of successful marriage by Aunt Ezekiel
3.Food...
Habarini za siku nyingi
mabestito wangu niliwamisije?
ACHA NIWAACHIE KACHORUS KATAMU
KA KUWAKUMBUKA MARAFIKI ZANGU
Upendo haumo katika maneno;
unaonekana kwa matendo;
hauonekani kwenye raha...
Kufuatia upembuzi , uchunguzi mahsusi na yakinifu , imethibitika kua maneno haya matatu (3) yanatajwa takriban mara kadhaa katika kaya za watanzania hivi sasa .
Neno linaloongoza kutajwa sana...
Ule mtazamo wa kuwa wanawake huwa wanalia ovyo umebadilika sana na Matokeo yake ss Wanaume wa Dar ndio tumekuwa tukijiliza ovyo ovyo tu hadi mitandaoni hii inasikitisha sana!
Kweli kulia lia huko...
Boyfriend kapata binti mwingine mrembo zaidi yako? Girlfriend hataki tena kukusikia? Au umetimuliwa kazi?
Sasa kuna jibu:
Hamia Ukawa. Ndio eneo wanakokwenda watu waliokosa mvuto kwingine.