Nipo Kasulu

Nipo Kasulu

nanawoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
1,312
Reaction score
1,279
Wakuu nipo Kasulu .

Ni sehemu gani ya kwenda kuitembea Kasulu na hata ya makumbusho au ya kulia bata.
 
Wiki ijayo ni takuwepo hapo weka mazingira sawa
 
Ni muda mrefu tangu niwe huko lakin kuna Sehemu kama Serengeti, Kasudeco, Kasulu Motel n.k ni ,meneo mazuri kimtindo bila kusahau break point.
 
We kula vumbi tu hapo ndugu hilo eneo hapana kuishi mimi
 
Back
Top Bottom