Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Kufuatia upembuzi , uchunguzi mahsusi na yakinifu , imethibitika kua maneno haya matatu (3) yanatajwa takriban mara kadhaa katika kaya za watanzania hivi sasa .
Neno linaloongoza kutajwa sana ktk hayo matatu ni ;
LOWASSA .
Likufuatiwa na neno ;
HUWOOO (Pale umeme uliokatika umerudi )
Na kisha kwa mbaaaaali linafuatia neno ;
POMBE (neno hili hutajwa sana kwenye ma'bar, vilabuni , mathalan "tuongeze pombe" "pombe imeisha" "umemwaga pombe yangu" "lipa pombe" "leta pombe n. k na pale wana ccm wanapomnadi mgombea wao hulitaja jina hilo)