mudy92
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 671
- 535
Wasalaam,
Nimekuwa nikisikia Mara nyig kuhusu hili jambo Mapepo, hata katika mambo yanayopaswa binadamu kutumia Akili yanasingiziwa Mapepo.
Utasikia: Ana pepo la kiburi.
Au ana pepo la uchoyo.
Khaaaaa! Jamani Hivi huyo Shetan Kafilisika? Hadi Uchoyo anausika bango.
Tuache Drama we kama mchoyo mchoyo tu, kiburi, wizi ni wewe mwenyewe.
Eeeeh...