Wakuu,
Leo nimeamka na matope miguuni asubuh wakati najiandaa kwenda kongo,nimeshtuka baada ya kujikuta nina matope asubuhi na najua hawa ni wachawi tu nasema.
SHIKAMOO WACHAWI
wakuu nina mada ndogo sana hapa, kwa nini watu warefu wana miguu mikubwa wanavaa namba 13 mpaka 14, pia kwa nini watu wafupi wana miguu midogo sana wanavaa namba 2 mpaka 5 tena hawa ni watu...
Wapendwa wana MMU leo tarehe 15/10/2015 ni siku ambayo mdau mwenzetu dada Apologise lady anakumbuka siku yake ya kuzaliwa.
Tunafahamu kuwa kwa kila binadamu hii ni siku muhimu sana maishani hasa...
happy birthday to me ...happy birthday to meee..how old are you now.. how old are you now... i am 23 years old...kata keki tule...nakata...kata keki tule ...nakata...lets god bless me... lets god...
Amani iwe kwenu!
Kwa wale wanaosubiri kuapishwa baada ya uchaguzi October 25 nawaalika mje hapa kwangu nauza ng'ombe wangu kwa bei zuri, kwa mawasiliano zaidi njoo kwenye room yangu nitakupa...
Salaam,
nakumbuka kipindi flani back in days,i had a quarrel with my back then girlfriend. Tuliargue sana siku hiyo na kurushiana maneno sana and for weeks tukawa hatuongei. Nakumbuka siku hiyo...
Baada ya Oct 25 magazeti yatakuwa yamebeba headlines mbalimbali, hebu twende nazo hapa!
Nipashe: UKAWA juu
Uhuru: CCM kidedea,
Mtanzania: Historia mpya yaandikwa!
Mm, familia yangu na watu wengi wa karibu tumeanza Kusherekea mapema ushindi wa Dr John Joseph Pombe Magufuri... Kama unajihis Kushiriki karibu Forodhani Garden kesho saa 2 usiku, huduma zote...
Habari Zenu Wandugu. Kwa Masikitiko Makubwa Hivi Ninavyoandika UZI Huu Bado Nipo Lodge Huku TANDALE Nikiwa Na Mgoni Wangu Na Bahati Mbaya Wakati Nimeingia Chumbani KUMFUMANIA Mke Wangu Kwa MSHTUKO...
1. kueka mate kwa juice ndio usiombwe.
2. ukikosewa na mtu unafunga na yeye.
3. blackmailing your best friend ndio afanye what you want, "leta nicopy ama tukosane"
4. kukasirika cause...
Mmbo vipi hapo,yah mimi ni me kwa jinsia
sasa jana baada ya kubugia chupa kadhaa za tbl nikajikuta nimesinzia kitandani kwangu.nikapitiwa na ndoto wajameni,,ndoto yeynyewe nilikua naota watu...
Yaani utakuta mtu anajambaaa. Yaani kujambaaa me sipendi myu ajambeee utakuta bonge la dume afu linajambaaaa yaani kujamaaa jamani kujaambaaaa afu mwanamke mzuri naye anajambaaaa
leo chama cha pool table tanzania kimetangaza kutompokea juma nyoso kwenye mchezo wao, na wanafanya hivyo kujihami kwani kwenye mchezo wao wanahisi ndio atakuwa hatari zaidi.