habar wana jf
hem naomba ushauri wenu,ni jambo gani hasa la awali kumuashiria au kumuonesha mtu(awe m/mke au m/mme) ambae umemzimikia ili aweze kubrainstorm kama unampenda
Katika maisha, bila kujali ukubwa wa Elimu yako kitu kizuri ni udadisi na uchunguzi. Nimechemsha bongo langu nimepata sentence ifuatayo;
Baada ya JOB tunakunywa POMBE. Tukigombana basi...
Wadau,
Style ya Maghufuli ya Kupunguza gharama kwa kuhamisha kusudio la awali la michango au gharama husika limemtokea puani Bwana Harusi mmoja mkazi wa Sinza baada ya Wanakamati kutokubaliana...
Nina furaha sana kuzaliwa siku tarehe kama ya leo nyundo kadhaa
wana Jamiiforums wenzangu tujumuike pamoko
(kama nimeshika mike naongea)
27-11
bila kusahau nasherekea siku moja na sista...
Mzungu: Hi bro, I need $100, wil pay u back on Monday.
Mswahili: Kaka vipi, shwari? Dah hatuonani mzee, vipi mishe, mnatunyima nini, juzi nimekuona kwa mbali shavu dodo full kipupwe, siye tupo...
comment neno/sentensi ya kuchekesha ili mwenzio acheke
comment itakayochekesha watu wengi zaidi ndo imeshinda.
NB: ukiona comment imekuchekesha unai quote kama hivi mfano;
imagine magufuli...
DOGO: Mama Jana Baba Alikuja Na Mwanamke Na Akaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita Beib...
BABA: Kwa Hasira Ebu Wacha Kuongea Na Chakula Mdomoni Wewe Mpumbavu Sana Khaa!!!
MAMA: Eti Nini Hebu Endelea...
Kichwa cha habari hapo juu kinahusika sana. Hiki ni kibaraza cha wanawake wenzangu, wanaume haiwahusu kabisa maana hapa tunataka kumsengenya mtu, anayejijua kwamba ana K ndiye ahusike hapa...
SPECIAL ANNOUNCEMENT.
Wakuu, tarehe 5 December tutakua na special events kwa member wote wa jf itakua ni cocktail and mocktail party kuhusu venue itakua katika moja ya fukwe maarufu hapa Dar...