JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
nimemic sana vitu vya congo,wako wapi wale nguli,akina Werason JB MPIANA,EXTRA MUSICAL,WAZEKWA,DEFAO
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Jamani hivi mwanaume unakuwa na wanawake zaidi ya watano kwa wakati mmoja kwenye mahusiano ni nini mnakuaga mnatafuta au kuna research mnafanyaga huko kwa wanawake?
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Habarini wana JF; Nina swali moja lisemalo, Inachukua muda gani kuondoka kwa jirani punde baada ya kula msosi kwake na ukizingatia mhusika alifika kwa ajili ya msosi!?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale wa Shule ya Sekondari Tosamaganga mpo? Tukumbushane mambo ya idete, msiwasi na zoo. Enzi za Marehemu Mpogole "DUDU" M Madella Annex Mabweni Ya Azimio na Mwenge Madarasa ya Form V...
1 Reactions
202 Replies
45K Views
Wasalam wanajukwaa Ninaanza, kulikuwa na ndugu Saba Pamoja na marafiki zao wawili walienda kuangalia sinema mwenge. Unaweza kugundua walijipangaje katika kukata tiketi ? Grumpy yupo mbele ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Basi wiki iliyopita jirani yangu alipatwa na msiba huko kijijini kwao, ikabidi nimsindikize kwenda kuzika, utaratibu wa kuzika baada ya kuzika kwa mila yao, mzee wa kimila hutangaza nani ataefatia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!.. Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!.. Wakwanza alikuwa MUHINDI,wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti jaman mapenzi ya zati au ubwege
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamaa yupo kwenye msiba wa dada yake, wakati jeneza linatolewa ndani watu wote msibani walikuwa wakilia. Mara simu ya Jamaa ikaita kwa ringtone ya dada huyoo anaolewaa, dada huyoo anaolewaa...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Watu wakorofi kweli!,nimeikuta sehem MSN mess suarez neymar MSN mseven shein nkurunzinza
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TANUA MAPAFU S01E01 Dada mmoja alikuwa bafuni akioga,mara akasikia hodi ikipigwa mlangoni,akajibu karibu huku akijisetiri kwa taulo na kanga ili akampokee mgeni. Alipofungua mlango,akakutana uso...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Bwana Yesu asifiwe!!! Jaman ni mm mchungaj wenu illovo nimerudi tens nilikua natafuta UPAKO. VP jaman habr za cku?? Polen kwa majukumu,?? Kama kawaida nipo kwa ajili ya -kushauri -kufundisha...
2 Reactions
50 Replies
3K Views
Kwa wale wenzangu na mimi wenye ubia na viwanda vya TBL na Serengeti ukimaliza na kiwanda cha konyagi, na viwanda vya kienyeji vya Mbege,Kindi,Komoni,Ulanzi,Kibuku,Mnazi,Ulanzi,Kangala, na konyagi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nimeipenda hii habar njema Ukitaka majungu OA MHAYA. Ukitaka Mapenzi ya ujanja ujanja OA MCHAGA. Ukitaka Uchawi OA MFIPA. Ukitaka maneno OA MZENJI. Ukitaka mapishi OA MTANGA. Ukitaka Uume...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Dear Sun (Jua), There's no contest,it's not even a competition. You are still the hottest thing on planet earth. Nobody is competing with you. Please stop showing off..
2 Reactions
7 Replies
2K Views
ITIZAME VIDEO FB
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katoto kavulana kalimwendea baba yake na kuanza mazungumzo MTOTO: (kwa uchangamfu na kujiamini) Babaa baba! BABA: (akihamisha uso wake kutoka kwenye gazeti na kumtazama mwanawe) Wasemaje Richiee...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…