Habari wanajamvi?
Ikatikea bahati mbaya katika pita pita zako maeneo fulani hatari,ukakumbana na kibaka akakukwapua kimkoba chako kina laptop na kama laki tano hivi.
Kwakua umejaaliwa mbio,katika...
1. Atakua na simu yake mpo nyumbani dakika hiyo anakwambia umbip hajui kaiweka wapi.
- Tuhurumie Baba
2. Ana Nguo zimejaa makabati mawili lakini hajui avae nini ukimwambia mtoke!
- Baba, ni...
Wakuu,
Leo ni birthday yangu Mungu kanijalia nimefikisha miaka 22. Happy birthday to me happy birthday to me happy birthday dear K 4 LIFE happy birthday to me.
MAKE A WISH K 4 LIFE
Unakumbuka ilikuaje? Unakumbuka ulivaaje?Je walikupokeaje?
Nimeenda na ndugu yangu juzi alikaribishwa ukweni kwa mara ya kwanza....wiki nzima alikua restless,trying to do everything to impress...
Ni muda mfupi uliopita television ya EATV katika sehemu yao inayojulikana kwa jina la Cheche mama mmoja na kijana mmoja wanafurahi kwa Wema Sepetu kuhama mtaa wao kwa madai alikuwa anawakera kwa...
Nipo naangalia BBC Swahili, Dira ya Dunia, kipindi ambacho nakipenda sana.
Hawa Blue Band nadhani wana mkataba wa tangazo lao na Star Tv, napenda yule mama anavyokiendesha kile kibaiskeli cha...
Hi guys,
Nimeona nilete swali hili kwenu wanajamvi.
Hivi kati ya wanawake na wanaume ni kina nani wanaongoza kila kukicha kuwaacha wenzi wao?
Nimekuwa naona malalamiko mengi hapa ya wanaume...
Siku moja asubuhi naenda kazini kichwa ilinichanganya mpaka nikajiuliza hivi kichwa yangu ndo inaongoza kwa kusahau duniani au? Asubuhi natoka ndani nikachukua ufunguo wa gari nikatia mfukoni...
Nilikutana nae facebook sijawahi kumuona hata kwa sura ila tunawasilana watsap na tunapigiana simu wote tupo dar ila kila nikimuomba tuonane ananichenga tatizo kila mara ananiomba pesa tena ana...
Mwerefu na mjinga wali kwenda katika usahili, walipo fika kabla hawaja ingia waka kubaliana aanze mwerefu, kisha akitoka ampe mjinga majibu ili wote wapate kazi.
Basi mwerefu akaingia namaswali...
1. Kamwe usiamke mapema, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma.
2. Kamwe usipange jinsi ya kutumia pesa zako, wewe zitumie tu pale unapozipata. Na zikiisha kaa chini na...
Tokea asubuhi napiga tu Simu kwa Washikaji zangu waliopo huko barabarani ili wanipe mpango mzima wa Idadi ya Matrafiki katika njia ambazo nataka nipite nipeleke MKANGAFU wangu ( gari mbovu )...
Hello,
Huyu mdada naona hakuvaa pampasi hlf yalimshinda, hiyo yote ni effects za kugawa ndogo aka inye, wadada kuweni makini na mabazazi wa karne hii
Ni hayo tu.
Kuna kitu nakiona kinaendelea ambacho kisipoangaliwa kinaweza kuleta madhara makubwa. ...
Kumekuwa na kikundi cha watu wanaoitwa maspecialist wa magonjwa mbalimbali . ..hiki kikundi cha watu...
_mwalimu wa shule xxx aliingia darasani na kuanza kuwaulza maswali wanafunzi
_ebu niambieni huwa mkitoka shule mnakwenda wapi..
mwanafunzi wa 1:huwa nakwenda kwa micaely michael kuvuta bangi...