BatteryLow
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 446
- 149
Siku moja asubuhi naenda kazini kichwa ilinichanganya mpaka nikajiuliza hivi kichwa yangu ndo inaongoza kwa kusahau duniani au? Asubuhi natoka ndani nikachukua ufunguo wa gari nikatia mfukoni.
1.Kufika mlango wa kutokea nje nikakumbuka nimesahau kuchukua funguo za gari;
2.Niliporudi chumbani kichwa ikawa imesahau nilirudi kufuata nini, nikatoka zangu kuelekea kwenye gari;
3.Kushika mlango wa gari ndo nikakumbuka nimesahau kuchukua ufunguo, nikarudi ndani na kuzitafuta bila kuziona. Nikamuuliza my wife, funguo za gari ziko wap? Akaniambia 'si ulichukua baby ukatia mfukoni?' Kutia mkono mfukoni nikazikuta, yaani mimi ni jipu bas tu.