Yupi zaidi kwa kupiga kibuti kati ya mwanamke na mwanaume?

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
Hi guys,

Nimeona nilete swali hili kwenu wanajamvi.

Hivi kati ya wanawake na wanaume ni kina nani wanaongoza kila kukicha kuwaacha wenzi wao?

Nimekuwa naona malalamiko mengi hapa ya wanaume kuachwa ila wanawake sijaona sana labda sababu jukwaa hili hawapo wengi kulinganisha na insta Badoo na FB siunajua huku hakuna kuuza sura,ila tulio nao wapo vizuri na ni makamanda wa vita.

Wenu katika ujenzi
 
No research no right to speak, hivyo sina jibu labda nipe hela ya kuifanyia research hii issue ndipo nitakapoweza kukuletea majibu sahihi.
 
Back
Top Bottom