bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 798
Habari wanajamvi?
Ikatikea bahati mbaya katika pita pita zako maeneo fulani hatari,ukakumbana na kibaka akakukwapua kimkoba chako kina laptop na kama laki tano hivi.
Kwakua umejaaliwa mbio,katika kumkimbiza (mwizi hua hakimbilii mahala pa wazi ila vichochoroni) ukamuina MKEO kabananishwa kichochoroni anapigwa mate.
Hivi utamkimbiza mwizi au utamfata mkeo?
Karibuni