mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,859
- 51,511
Nilikutana nae facebook sijawahi kumuona hata kwa sura ila tunawasilana watsap na tunapigiana simu wote tupo dar ila kila nikimuomba tuonane ananichenga tatizo kila mara ananiomba pesa tena ana kiwango chake maalumu 50,000,bahati mbaya kakuta nimezaliwa ocean road kila mara namkatalia je huyu sio mpenzi hewa kama wale wafanyakazi hewa wa magufuli