Jamani eeeeh!
Nipo kwenye dala dala hapa natoka kibaruani na kwa mji wangu. Nimekaa Nimekaaa siti karibu na mlango wa conductor, abiria wa siti ya nyuma kanyoosha mguu wake wa kulia, kule chini...
Hamjambo WanaJF!
Jamani mi nina tatzo na cjui ilikuwaje nikawa hivi!
Mi mwenzenu tangu siku ya kwanza nilipoona umbile tupu la hawa wenzetu wa kike wakiwa utupu... Namaanisha nikiiona face 2...
Nimeikumbuka Ile movie ya Jack Chain "THE DRUNKEN MASTER" kiukweli nimeimiss sana na bahati mbaya sinayo.... Nimejaribu kuiGoogle lakini kila nikiandika THE DRUNKEN MASTER Google inanisahihisha na...
Habari wanajamii,
Nime miss sana hili jukwa tangia nifumaniwe na mke wangu humu nimeishia kuchungulia tu na kusepa,
Japo nimejitahidi kubadili jina nimeshindwa.
Leo nimeona niweeleze juu ya...
Jamani nyie haya mambo ya kijamii ni magumu acha.
Hapa jirani na kwangu kuna dada mmoja anapika vitafunwa na chapati zake ni tamuuu, yani nikizila wala hata sijilazimishi na ninazipiga mpaka...
Yaani ni tabu ukichelewa kurudi kidogo tu lawama kibao.
ukisema utembelee shost zako huruhusiwi na maneno kibao.
kibaya zaid mume huyu ni bingwa wa kununa kitu kidogo atanuna siku saba! Loh ...
Wakuu habari ya wikendi,
Tuache utani kwa mkoa wa Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni inaongoza kuwa na wanawake wazuri na classic kuliko wilaya ya ilala na Temeke.
Kwa bahati nzuri nimebahatika...
Wakuu heshima zenu,
Kama title inavyosema hapo juu, namtafuta Isabella mwanadada, ambaye ni mwanachama wa JF popote alipo. Tafadhali ukipata ujumbe huu naomba unipm
Wakuu habari za Sunday..
Leo baada ya kunywa juice yangu ya ukwaju nikipoza hang over ya jana. Ghafla inaingia text ya rafik angu, Mkuu unamkojoza nani weekend hii...
Nimeangua kicheko mpaka...
habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kijana mmoja ajulikanae kwa jina la Waziri Lameck almaarufu kwa jina la Kijana Mdogo.
amejikuta akizuaa balaa baada ya kuingia kanisani na kukimbilia...
Sisi madereva tax bwana tunacheza dili mbalimbali nyingi sana zote za hatari ila zingine huwa za hatari zaidi.Nakumba ilikuwa majira ya saa mbili usiku nikiwa nimepaki zangu nasubiri mteja mara...
Hivi ile tabia tuliyokuwa tukifanya miaka ya 90 na. Unang'oa jino halafu unalitupa juu ya bati huku ukisema "ewe mwewe chukua jino langu ili liote lingine"
Siku hizi sijui kama ipo tena. Sijaiona...