Hakuna tuhuma za ubakaji Jiji la Tanga

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,277
5,838
Habari wanajamii,

Nime miss sana hili jukwa tangia nifumaniwe na mke wangu humu nimeishia kuchungulia tu na kusepa,
Japo nimejitahidi kubadili jina nimeshindwa.

Leo nimeona niweeleze juu ya mkoa wetu huu wa Tanga jamani huku kwetu kuhusu TUHUMA ZA UBAKAJI JIJINI TANGA hakuna kabisaaaaaa yaani ni nadra kukuta hio kesi kwa sababu zifuatazo
1. Kama utakosa mwanamke basi kwenu hujaaga ama unamikosi ya asili.
2. Wanawake wa huku niwakarimu saana,hawana kalenda.
3. Wakikuelewa hawana gharama,kwao mapenzi kwanza pesa baadae.
4. Wakijua hawapo peke yao wanasaidia kumtunza mwenzao.
5. Wanajua mwanaume anahitaji nn.
Natoa ushuhuda huu kwamaana sijawahi kukataliwa hata siku moja kwa siku natongoza si chini ya watano na wote wanakubali na wengine huja wenyewe,
Kwa namna hii tunaomba mikoa mingine iige ili kuepuka kesi za ubakaji.
#mytake
Mapenzi ni maamuzi ya mtu kujikinga ni lazima.
Tanzania bila Ukimwi inawezekana.
 
Ni kweli kabisa, wanawake wa Tanga wao wanawaza mapenzi zaidi...ndo mana ni ngumu kumkataa mwanaume
 
Hao wanawake wa Tanga hata ukimkuta anaishi mkoa mwengine au lazima awe hapo hapo Tanga tu?
 
Alafu wanajua ule mchezo duu ipo siku nilikutana na mtt wa pande izo nilionga paka simu nilikuwa natumia mm nikawa nagongea kwa washikaji
 
Back
Top Bottom