Najuta kuolewa!

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Yaani ni tabu ukichelewa kurudi kidogo tu lawama kibao.

ukisema utembelee shost zako huruhusiwi na maneno kibao.

kibaya zaid mume huyu ni bingwa wa kununa kitu kidogo atanuna siku saba! Loh ! Bora nibaki sinngle mie ..

Nadai taraka yangu
 
monicca nilijua tuu! kama ya kwanza ulishindwa hii usingeweza kabisaaa!
 
Back
Top Bottom