PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,352
Nimeikumbuka Ile movie ya Jack Chain "THE DRUNKEN MASTER" kiukweli nimeimiss sana na bahati mbaya sinayo.... Nimejaribu kuiGoogle lakini kila nikiandika THE DRUNKEN MASTER Google inanisahihisha na kusema DID YOU MEAN THE DRUNKEN MINISTER? mwenye nayo tafadhali anisaidie..